Nothing is the number when you die
Hii itampunguzia maumivu mengi lakini atapotea kwenye media the soonest
Wema ndio tayari wakati ushamtupa mkono...muda wake wa kuwika umeshakwisha!,umeshapita
The saddest thing ni kwamba hakujaaliwa mtoto[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] faraja ya mwisho ya mwanadamu! Kwahiyo mawazo ya kufa kufa na hata ndoto lazima vimtokee
Siku akilala na asiamke tena tusishangae