Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Yaan alikuwa kimya kumbe alikuwa hana raha na zile video za zari na mond za mahaba zilikuwa zinamuumiza sana
Yani Tangu Mond awe na Zari furaha aliikodisha baada ya Zari kusepa naona kairudisha.
Kweli Zari kiboko yake [emoji23][emoji23]

Na lyn kampa ukweli mchungu.
 
Wachina nawakubali... Hii ni indication kua dawa zina fanya kazi lengwa.. Si tunasemaga dawa zao ni feki... Haya sasa hizi zinafanya kazi vizur[emoji23][emoji23]
 
Sijali wasemayo mamaa wema!

Ukinipa sivungi,sisusi.

Jogoo langu halichagui wembamba,weusi ,weupe,wanjano hata wabantu wenye vifurushi.
Kwani unadhani mimi akinipa kama yeye ni mzima wa afya namuacha?? Namkamua kisawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…