mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
kwanza nakiri kwamba hiyo video nimeiangalia sana kwani nilivutiwa na huo msambwanda ila baada ya kugundua hicho kitu kwenye wowowo nilijiuliza sana mishowe nikajiongeza kuwa ndo sehemu waliyopitishia amira kuongeza hilo wowowo.Mpaka sasa hivi naona kichefuchefu tu hiyo video yenyewe