Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Ushasema anaonyesha u fake wa makalio yake ....hujasema ua mtu mwingine which means hayakuhusu ndo maaana yakawa yake....na ww toa ulichonacho ukionyeshe ndugu.....asipoonyesha mabonde akionyesha fake wanadamu ma hilaa my dear if u cnt beat her we fanya kumjoin na uache ubabaifu
 
Amfungie mtu anaenda kujipumzisha sehemu kwa kuogelea na bikini kisha kuchukua picha za kumbukumbu?

Au kosa lake kushare na wengine?

Mambo mengine tuna complicate maisha bila sababu. Picha zinaonesha sisi watanganyika kabla ya walowezi wazungu na waarabu tulikuwa tunafunika viungo vya uzazi tu.

Hata dada na mama zetu walikuwa makalio na matoti nje tu. Huo ndio utamaduni wetu wa asili.
Mmh!! bro chillax.
 
Toka zari na daimond waachane kafurahi kweli kachizika anarusha vijembe ,wanawake kama wema wengi kweli anachizika kwenye hakuna[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeongea sana kuhusu hiki kitu...

Zari alimnyima sana usingizi huyu zero brain...yaan alikuwa hana confo kabisa!

Hadi kuonesha mchina si mchezo
 
Kama huo wehu ndio u-super star basi asiwepo super star yeyote ktk uzao wangu.

Vb
 
Moderators acheni upuuzi, uzi wa tacko feki la Wema na yeye kucheza dansi hilo kuna uhusiano gani mpaka mmeunganisha uzi?
Acheni ujinga.
 
Ila watanzania kwa chuki hawajambo khaa!![emoji23][emoji23]
 
Naskiaga complain juu ha wanaume wa dar.. Sasa naanza kuamini kua sio utani ni ukweli mtupu.. Embu check bwege lile lina chezea chezea ukuta wakat mtoto ana angaika kubinua kiuno mwenye huku.. Haya ndo yanaitwa nyuki wa mashineni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi kuwa pamoja na wowowo kama lile alafu pakawa salama lazima amani itoweke. Jamaa anaonekanwa hata habari hana. Kiukweli ananitia shaka kabisa.
 
Back
Top Bottom