Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Huba linaleta upofu mama unachukua maugomvi ya watu hata hujui na kujifanya nawe eti una hater kwa kitu ganii labda ,ye awe kimya maana si muda daimond hajatulia atalia tena
Kwetu Raahaa
 
Yaan bora hata angechizika kwa mwanaume alietulia ,,Diamond kicheche hataree anachizika kwenye 0 watu kama wema wengi tu tunawacheka kweli .
Anabeba kesi sio zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Yawezekana Dai ndio anayo tiba ya maradhi yake ya moyo
he he he
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…