Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Huba linaleta upofu mama unachukua maugomvi ya watu hata hujui na kujifanya nawe eti una hater kwa kitu ganii labda ,ye awe kimya maana si muda daimond hajatulia atalia tenaNaona kalibeba 'beef' la Diamond Mgongoni,Kuingilia magomvi ya watu.Yeye angeanza mahaba yake yeye kama yeye.Hayo mambo ya Vijembe kwa habari zisizo na uhakika wala haistawishi pendo lake.Kama kweli kuna penzi akumbuke Zari alipendwa zaidi yake just few months back!
Kwetu Raahaa