Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Sana huoni kama kawehuka hivi[emoji23] inaonekana zari alikua anamnyima raha kweli kweli
[emoji23][emoji23]Wanawake wenye makalio makubwa wengi huwa hawana akili wakisifiwa tu akili zinahama usishangae
Haa mimi lover wa Tanzania.Huna hater acha kulazimisha wewe
Mtakomaaa ndio mtafute mchina[emoji23] [emoji23] tuliopigwa pasi hatuna la kusema
Naweka la mmarekani wangu ,Shemela wako analipenda hivi hiviWeka la mwingereza.
Mama usisahau hizi simu janja kwa ku edit ni noma sana...mabunye kwishnehiii...miraba haipio kabisa.Lakini pale mwanzoni kuna sehemu imebonyea hatari.mpaka alama ya mkato imetokea.Kuna kipindi walisema eti dada huyu ana michirizi na minyama uzembe ndo mana havaagi vya kuogelea,sas hii video nimeiangalia zaid ya mara 6 kutafuta michirizi na minyama uzembe
Kwenye maji haionekani shoogaaKuna kipindi walisema eti dada huyu ana michirizi na minyama uzembe ndo mana havaagi vya kuogelea,sas hii video nimeiangalia zaid ya mara 6 kutafuta michirizi na minyama uzembe
Mnajilazimisha tu muonekane mffyuuuHaa mimi lover wa Tanzania.
Ukipigwa pasi mwagia maji,ilowe[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] tuliopigwa pasi hatuna la kusema
Uongo??[emoji23][emoji23]
Ujue acha kutuibia...shemela mnyakyusa jina lake Gwandumi.bye!Naweka la mmarekani wangu ,Shemela wako analipenda hivi hivi
AhahahahahahajUjue acha kutuibia...shemela mnyakyusa jina lake Gwandumi.bye!
Tanzania kwanza.Wema kanikoshaMnajilazimisha tu muonekane mffyuuu
Msalimie Gwandumi Mwakapalile!Ahahahahahahaj mamamayoooo fala weee
Haya furahi mi haterTanzania kwanza.Wema kanikosha
Ashakusikia zamani tuMsalimie Gwandumi Mwakapalile!
Alikua na michirizi ya creamy. Alivyodate na CK akampeleka China akaenda kufanyiwa surgery ya michirizi. Ko sasa hivi hana shida yoyote.Kuna kipindi walisema eti dada huyu ana michirizi na minyama uzembe ndo mana havaagi vya kuogelea,sas hii video nimeiangalia zaid ya mara 6 kutafuta michirizi na minyama uzembe