Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Kuna kipindi walisema eti dada huyu ana michirizi na minyama uzembe ndo mana havaagi vya kuogelea,sas hii video nimeiangalia zaid ya mara 6 kutafuta michirizi na minyama uzembe
Mama usisahau hizi simu janja kwa ku edit ni noma sana...mabunye kwishnehiii...miraba haipio kabisa.Lakini pale mwanzoni kuna sehemu imebonyea hatari.mpaka alama ya mkato imetokea.
 
Kuna kipindi walisema eti dada huyu ana michirizi na minyama uzembe ndo mana havaagi vya kuogelea,sas hii video nimeiangalia zaid ya mara 6 kutafuta michirizi na minyama uzembe
Alikua na michirizi ya creamy. Alivyodate na CK akampeleka China akaenda kufanyiwa surgery ya michirizi. Ko sasa hivi hana shida yoyote.
 
Back
Top Bottom