Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Kuna kipindi walisema eti dada huyu ana michirizi na minyama uzembe ndo mana havaagi vya kuogelea,sas hii video nimeiangalia zaid ya mara 6 kutafuta michirizi na minyama uzembe
Alibreach ngozi alivyoenda china ila hijaisha shogaa
 
Ile michirizi ya pundamilia njemba wengine huipenda. Angeacha tu.
Yake ilikia tofauti na hii yetu. Michirizi ya kujichubua na madawa inatisha. Yanakuaga kama yanavimba halafu meusii. Ck alitenda jambo zuri sana kwa ile surgery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…