Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Woooi surgery ya michirizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]mzigua tafadhali niache
Ndio mama. Hakuna dawa ya kutoa stretch mark zilizoharibiwa na cream zaidi ya surgery. Wanadanganya sijui upake bio oil sijui mafuta ya nazi ila dawa ni surgery. Na Wema akiharibika sana maskini.
 
Naona kalibeba 'beef' la Diamond Mgongoni,Kuingilia magomvi ya watu.Yeye angeanza mahaba yake yeye kama yeye.Hayo mambo ya Vijembe kwa habari zisizo na uhakika wala haistawishi pendo lake.Kama kweli kuna penzi akumbuke Zari alipendwa zaidi yake just few months back!
Kwan na wewe ukumbuki tukinao alivyokua kalibeba bif? Nae mbona alikua anachezew matako live na post juu....wote hakili hawana mapenzi ya show off
 
Kwan na wewe ukumbuki tukinao alivyokua kalibeba bif? Nae mbona alikua anachezew matako live na post juu....wote hakili hawana mapenzi ya show off
Ahahhaah kazi kweli yakiisha ndio mtu anaanza jutraa
 
Back
Top Bottom