Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Plzzz usicheke sio surgery ni breach alifanya hakuna surgery ya michiriziWoooi surgery ya michirizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]mzigua tafadhali niache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plzzz usicheke sio surgery ni breach alifanya hakuna surgery ya michiriziWoooi surgery ya michirizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]mzigua tafadhali niache
Adui wa mwananke ni mwananke mwenzieHapana maimatha alifanya kazi mwaego
Ndio mama. Hakuna dawa ya kutoa stretch mark zilizoharibiwa na cream zaidi ya surgery. Wanadanganya sijui upake bio oil sijui mafuta ya nazi ila dawa ni surgery. Na Wema akiharibika sana maskini.Woooi surgery ya michirizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]mzigua tafadhali niache
Naomba namba ya maimartha,huu weusi wa giza naona kama haulipiHapana maimatha alifanya kazi mwaego
Kwan na wewe ukumbuki tukinao alivyokua kalibeba bif? Nae mbona alikua anachezew matako live na post juu....wote hakili hawana mapenzi ya show offNaona kalibeba 'beef' la Diamond Mgongoni,Kuingilia magomvi ya watu.Yeye angeanza mahaba yake yeye kama yeye.Hayo mambo ya Vijembe kwa habari zisizo na uhakika wala haistawishi pendo lake.Kama kweli kuna penzi akumbuke Zari alipendwa zaidi yake just few months back!
Siku zote nawe uacheAdui wa mwananke ni mwananke mwenzie
Mimi skeleton mwayego,nikitokea kama wabogojo!La muhimu nakaa siumii.Hahaa lazima ni skeletone wew
Ilo dongeAnachafua maji tu,Wowowo lenyewe lina mabujebuje
Wenzio wanataka trakoo we unataka weupe kweli Mungu hakupi vyoteeNaomba namba ya maimartha,huu weusi wa giza naona kama haulipi
Ringeni tu jamani hayo makitu yana raha yakeYaaani. Sema tako rahaa jamani hasa ukivalia nguo.
[emoji23][emoji23]Tumefurahii kwa kweli kutuachia Kivuruge wetu aoe mtz tu
Ahahhaah kazi kweli yakiisha ndio mtu anaanza jutraaKwan na wewe ukumbuki tukinao alivyokua kalibeba bif? Nae mbona alikua anachezew matako live na post juu....wote hakili hawana mapenzi ya show off
Mapenzi ya show off kazi sanaKwan na wewe ukumbuki tukinao alivyokua kalibeba bif? Nae mbona alikua anachezew matako live na post juu....wote hakili hawana mapenzi ya show off
hatari sana.Kwan na wewe ukumbuki tukinao alivyokua kalibeba bif? Nae mbona alikua anachezew matako live na post juu....wote hakili hawana mapenzi ya show off
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108].Ringeni tu jamani hayo makitu yana raha yake
haterIlo donge
weusi kama kapakwa masiziWenzio wanataka trakoo we unataka weupe kweli Mungu hakupi vyotee
Mme wangu anapenda we kama wako hapendi pambana na huba lakoMapenzi ya show off kazi sana
Mama Sabrina ndo bingwa wa hizo mambo.