Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506

MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.

Katika kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Zaiidi wa Wowowo ukipigwa wimbo ambao unaonyesha kumfurahisha mlimbwende huyo na kuamua wowowo lake hadharani.
 
He he he he
naona kafurahi kweli kweli aiseee
Mpaka kufikia hatua kuanika wo wo wo hadharani, si mchezo
Yaan bora hata angechizika kwa mwanaume alietulia ,,Diamond kicheche hataree anachizika kwenye 0 watu kama wema wengi tu tunawacheka kweli .
Anabeba kesi sio zake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan bora hata angechizika kwa mwanaume alietulia ,,Diamond kicheche hataree anachizika kwenye 0 watu kama wema wengi tu tunawacheka kweli .
Anabeba kesi sio zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kalibeba 'beef' la Diamond Mgongoni,Kuingilia magomvi ya watu.Yeye angeanza mahaba yake yeye kama yeye.Hayo mambo ya Vijembe kwa habari zisizo na uhakika wala haistawishi pendo lake.Kama kweli kuna penzi akumbuke Zari alipendwa zaidi yake just few months back!
 
Back
Top Bottom