Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Acha watu waunge kifurushi cha CHAPUTA kwa ile video yake
 
Wema mwenyewe tu hajielewi. Tako lile nashangaa mie halimwagi uwanjani. SIkwenye nyimbo wala kwenye michezo angelitamba kisawa sawa.

Hata humo kwenye bongo movie hua anlibaniabania.

Uchumi anao kaukalia tu.
 
Ila usema ukweli jaman yule dada kabarikiwa jaman, tuache mambo mengine ya kidunia yule dada ni mrembo bhana. Ana ufichaga sana ule mzigo ana uficha sana tu! Sio kama hawa wengine sijui akina nani wana kaa uchi kila siku lakini hawaja barikiwa mzigo wa maana kama wa Wema.
 
Back
Top Bottom