Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
Wema mnataka afanyeje tena? Hajui hata kipa huwa anakaa kwenye kibendera au katikati ya uwanja?Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
Hili tamasha wanaoweza kutufafanulia zaidi ni tamasha la nini ni MASHEKH NA MAUSTADHI NA MAMUFTI hao ndiyo wanajua vizuri samia cup ni nini?Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.