Video ya kamera za ulinzi imeonyesha tukio la wizi wa kutumia silaha katika duka la vito la Heller Jewelers mjini San Ramon, California, Septemba 22, 2025 mida ya mchana. Polisi wamesema wahusika waliiba vito vyenye thamani ya takribani dola milioni 1 sawa na Takribani Bilioni 2. 4 kwa fedha za Kitanzania