AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Ametoboa wapi mkuu? sijakuelewaHongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube.
Umesimama mwenyewe bila collabo na umetoboa mwenyewe bila kubebwa na collabo,
#BigUpKiba
Yeye kaamua kutolea video original yake, ndio hiyo ina em views!Collabo kafanya na M.I na watu wengi ikiwemo mimi nimekuwa disappointed kutokumuona kwenye video pia na verse yake kufutwa kabisa
So video sijaipenda japo ni mmoja kati ya hao milioni viewers
Views em.Ametoboa wapi mkuu? sijakuelewa
Original ipi?Yeye kaamua kutolea video original yake, ndio hiyo ina em views!
Hahahaha unaweza kuta watu 10 tu wameangalia mara laki 300,000mimi nikisikia sijui flani ana views ngapi huwa sishtuki sana, hiz teams na watu wake zina shida sana, unaweza shangaa shardcore na matola peke yao wame view mala 20,000 ukitaka kujua mengi jaribu kujipendekeza wakuunganishe kwenye magroup yao ya whatsap, utajichokea mwenyewe,
Huyu aliepost anaujanja mwng sana, me mwnyw najisikia kumchana......Huyu jamaa anapenda kupotosha video imefikisha siku 11 sio wiki.
So kwel, huwez kumkosesha ucngz mtu ambae ameshalala na akaamka kitambo, wakat ww ndo kwanza unaanza kurembuaa, ucngz unakwitaaKiba anawakosesha usingizi Team sugar mummy's.
Where iis Kiba goin'[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] woyooooo go go king goo
Haiwez kua kwel, inshu ya youtube viewers ni swala la peoples power, there is no way unaweza kupinga hiloHahahaha unaweza kuta watu 10 tu wameangalia mara laki 300,000
Haiwez kua kwel, inshu ya youtube viewers ni swala la peoples power, there is no way unaweza kupinga hilo
Mods huyu ngosha ametukana hapo mwisho,Hizi pumba uloandika hapa au unafikiri youtube ni Tz peke yake?? Viewers ina maana wanaoisikiliza ni wengi na imependeka.. Angalia video youtube za wanyamwezi ndo utalijua hilo sio unaangalia akina shilole tu then unakuja mwaga pumba hapa za Tandale.. Nyanoko lolo!
Wiki cku izi ina cku kumiHongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube.
Umesimama mwenyewe bila collabo na umetoboa mwenyewe bila kubebwa na collabo,
#BigUpKiba