Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF EXPERT MEMBER NAYE ANAKUWA ANA TEAM ?mimi nikisikia sijui flani ana views ngapi huwa sishtuki sana, hiz teams na watu wake zina shida sana, unaweza shangaa shardcore na matola peke yao wame view mala 20,000 ukitaka kujua mengi jaribu kujipendekeza wakuunganishe kwenye magroup yao ya whatsap, utajichokea mwenyewe,
wrong! unaweza uka view mala 10 na ikaandika 10views, nenda kajaribu.Nijuacho Youtube ukishaangalia video inakuandika kabisa watched hivyo hata uangalie mara mia hutahesabiwa tena
wrong! unaweza uka view mala 10 na ikaandika 10views, nenda kajaribu.
Ya kifaransa ni ipi?? Sijaisikia, sikujua kama Ali kina chante a franćais aussi! C'est très interessant!!Original ipi?
Hii ya kifaransa au ya M.I?
Utanipenda ilikula 1mil ndani siku 10Zigo ilipiga views 1M kwa siku7 bdo inashikilia record
Hongera kwake kwani hii waga inaongeza credibility kwa msanii, sio unakuta msanii anahit alafu video zake youtube hakuna ata yenye viewers lak 5.
Na km kuna kitu ananufaika kiba kuhusu hii bifu lake na Diamond basi ni kwenye mambo km haya, coz watu wa upinzani wanahakikisha wana either dowload sana audio yake au wanaangalia sana video yake youtube, ilmrad wakaribie moto wa diamond, kiba ndio waga anamfatia diamond kwa kuwa na viewers wengi EA nazani ata na kati kwa wasanii, ila kuibuka kwa harmonize hili ni pigo sana kwa kiba kwani wale ambao waga wanampa viewers wa kutosha diamond ndio hao hao ambao wanaangalia videos za harmonize hivo utagundua kuwa kwa ss mtu anaekuja kuchukua nafasi ya pili kwa kuwa na watazamaji wengi atakuwa harmonize badala ya kiba
Japokuwa kuwa na watamaji wengi sana youtube hakupimi maendeleo yako ila kuna hadhi yake unaipata km msanii husika, mfano wizkid tunajua ni msanii mzuri sana tena mwenye hadhi africa ila anazidiwa viewers na diamond hapo mondi anapata credit kubwa sana kwamba either yy ni msanii mzuri/mkubwa/maalufu kuliko wizkid.
Huu ujio wa wasanii wengi kwenye lebel ya WCB ni pigo sana kwa kiba, mfano akienda mavoko pale it means kiba atakuwa amepata wapinzani wapya tena na sio Diamond, kwa nguvu waliyonayo hawa jamaa wa WCB naona kabisa ile level ya kiba vs diamond inakuja kufa na kuwa kiba vs mavoko/hamornize and diamond vs wizkid/davido na wasanii wengine wakubwa Africa hivo Alikiba inabidi alione hili mapema na kupull socks zake mapema na kuja na mikakati thabiti ya kuchuana na mondi lasivyo level yake itashuka vibaya mno
Kwa muelewa atanielewa ila kwa wale wenzangu wa team wataona km mchawi ila me nimeongea ukweli na wala sio kiteam flani. Mesage kwa Alikiba na management yake wakipuuza yataanza ya harmonize/mavoko vs Alikiba na kwakuwa mziki wa bongo now upo upande mmoja hali si swhari kwa wengine

![]()
Tukuamini wewe unayesema siku kumi au mwenyewe anayesema siku 11.???
Mama tiffah mambo vp ndg![]()
Tukuamini wewe unayesema siku kumi au mwenyewe anayesema siku 11.???
Hahahaha unaweza kuta watu 10 tu wameangalia mara laki 300,000
Hivi huyo mavoco unayemtaja umesikia utumbo wake alioimba? Alikiba hafananishwi na yeyote, mziki wake no unique.
Mimi hata form 2 sijafika kiongozi, niliacha la tano!!Hivi wewe hata form2 umefika kweli? Mimesema video imehit just OVER ONE WEEK, sio within a week, Unajua maana ya neno OVER? Maana yake ni baada ya week 1 kuisha, that mean baada ya week 1 kabla ya week ya pili, sasa nashangaa hukuelewa kipi.
Basi hapo ulipo mwenyewe umefurahi mimeno yote nje... HahahahhMama tiffah mambo vp ndg