Video ya Aje ya Alikiba imehit 1 Million views over one week

But cha muhimu amepata bei gani? Hii ishu ya kujaza ukumbi iliwalostisha wasanii wengi jina kuubwa mfukoni huna kitu
Every single coin should count umaarufu una muda wake
 
Nijuacho Youtube ukishaangalia video inakuandika kabisa watched hivyo hata uangalie mara mia hutahesabiwa tena
 
JF EXPERT MEMBER NAYE ANAKUWA ANA TEAM ?
 
aise wimbo mtamu. Huyu jamaa nadhani yupo juu sana sema haja tambua dhamani yake.
 
Nijuacho Youtube ukishaangalia video inakuandika kabisa watched hivyo hata uangalie mara mia hutahesabiwa tena
wrong! unaweza uka view mala 10 na ikaandika 10views, nenda kajaribu.
 
Hongera kwake kwani hii waga inaongeza credibility kwa msanii, sio unakuta msanii anahit alafu video zake youtube hakuna ata yenye viewers lak 5.

Na km kuna kitu ananufaika kiba kuhusu hii bifu lake na Diamond basi ni kwenye mambo km haya, coz watu wa upinzani wanahakikisha wana either dowload sana audio yake au wanaangalia sana video yake youtube, ilmrad wakaribie moto wa diamond, kiba ndio waga anamfatia diamond kwa kuwa na viewers wengi EA nazani ata na kati kwa wasanii, ila kuibuka kwa harmonize hili ni pigo sana kwa kiba kwani wale ambao waga wanampa viewers wa kutosha diamond ndio hao hao ambao wanaangalia videos za harmonize hivo utagundua kuwa kwa ss mtu anaekuja kuchukua nafasi ya pili kwa kuwa na watazamaji wengi atakuwa harmonize badala ya kiba

Japokuwa kuwa na watamaji wengi sana youtube hakupimi maendeleo yako ila kuna hadhi yake unaipata km msanii husika, mfano wizkid tunajua ni msanii mzuri sana tena mwenye hadhi africa ila anazidiwa viewers na diamond hapo mondi anapata credit kubwa sana kwamba either yy ni msanii mzuri/mkubwa/maalufu kuliko wizkid.

Huu ujio wa wasanii wengi kwenye lebel ya WCB ni pigo sana kwa kiba, mfano akienda mavoko pale it means kiba atakuwa amepata wapinzani wapya tena na sio Diamond, kwa nguvu waliyonayo hawa jamaa wa WCB naona kabisa ile level ya kiba vs diamond inakuja kufa na kuwa kiba vs mavoko/hamornize and diamond vs wizkid/davido na wasanii wengine wakubwa Africa hivo Alikiba inabidi alione hili mapema na kupull socks zake mapema na kuja na mikakati thabiti ya kuchuana na mondi lasivyo level yake itashuka vibaya mno

Kwa muelewa atanielewa ila kwa wale wenzangu wa team wataona km mchawi ila me nimeongea ukweli na wala sio kiteam flani. Mesage kwa Alikiba na management yake wakipuuza yataanza ya harmonize/mavoko vs Alikiba na kwakuwa mziki wa bongo now upo upande mmoja hali si swhari kwa wengine
 
Zigo ilipiga views 1M kwa siku7 bdo inashikilia record
Utanipenda ilikula 1mil ndani siku 10
 

Hivi huyo mavoco unayemtaja umesikia utumbo wake alioimba? Alikiba hafananishwi na yeyote, mziki wake no unique.
 


Tukuamini wewe unayesema siku kumi au mwenyewe anayesema siku 11.???

Hivi wewe hata form2 umefika kweli? Mimesema video imehit just OVER ONE WEEK, sio within a week, Unajua maana ya neno OVER? Maana yake ni baada ya week 1 kuisha, that mean baada ya week 1 kabla ya week ya pili, sasa nashangaa hukuelewa kipi.
 
Washabik ndio wanamcost kiba wanamshindanisha na mtu asiyeshindana naye
 
Hivi wewe hata form2 umefika kweli? Mimesema video imehit just OVER ONE WEEK, sio within a week, Unajua maana ya neno OVER? Maana yake ni baada ya week 1 kuisha, that mean baada ya week 1 kabla ya week ya pili, sasa nashangaa hukuelewa kipi.
Mimi hata form 2 sijafika kiongozi, niliacha la tano!!

Kona kona zote hizo za nini? Yani ulitaka tu neno ONE WEEK litokeze, mbona mwenyewe amekuwa straight >> siku kumi na moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…