Video ya Aje ya Alikiba imehit 1 Million views over one week

Colors of Africa bado unajikongoja jimbo bayaa
 
But cha muhimu amepata bei gani? Hii ishu ya kujaza ukumbi iliwalostisha wasanii wengi jina kuubwa mfukoni huna kitu
Every single coin should count umaarufu una muda wake
hao views 1M ni pesa ndefu sana analipwa na kampuni ya google yenye umiliki wa youtube..
 
Nijuacho Youtube ukishaangalia video inakuandika kabisa watched hivyo hata uangalie mara mia hutahesabiwa tena
big no(je unataka kuniambia computer za internet cafe kama zipo kumi hata waingie watu 30,000 itahesabu 10 views..)... ukweli ni huu coz nina-miliki channel ya youtube..kila unapoingia ina-count views ni kama website/blog ukiingia mara 100 ita count 100 views..
 
Mods huyu ngosha ametukana hapo mwisho,
Umeamua kumsemea kwa kaka!
 
Sio kweli unayosema, device moja ikishatazama wimbo hata mtazame watu 100 kwa hiyo device itahesabu Ile Ile view 1 tu,ingekuwa hivyo wenye video YouTube wangekuwa matajiri wakubwa kwa sababu watu wanalipwa kwa views na download,
Mtu angeshinda YouTube kuwasha na kuzima wimbo wake ili apate views wengi
 
nilivyosema ndio ukweli na sahihi kabisa 100%.. unavyosema wewe ni uongo, opotofu, ukosefu wa taaluma, na akili finyu.. system za youtube ndio hizo zinazo-operate website/blogs. Kuna automation system ambazo hua zina detect valid and invalid views.. kila page ya youtube inavyo-load ina count as view but ukifungua mfululizo hua automation system zinaanza ku-detect as invalid view(invalid activities) na zinakua cancelled..pia kama wewe ni mmiliki wa youtube account views zako hua zinakua counted as invalid views ile device unayofungulia account yako inakua marked na google na ukibonyeza matangazo au ukifungua mara nyingi mfululizo account yako inafungiwa(disabled permanently) also device nyingine yeyote inayo-generate invalid traffic hua ina-count as invalid views. ACHA KUPOTOSHA JAMII KWA HIYO UNATAKA KUTUDANGANYA KAMA TANZANIA KUNA SIMU 10 NA COMPUTER 2 WATANZANIA MILLION MBILI WAKIINGIA KWENYE video za diamond au kiba etc.. HIZO DEVICE ZITA COUNT 12 VIEWS.. ACHA UMBULULAZZZ
 
Mnabishana buree tu kuhusu hio youtube, ukweli ni kwamba huo wimbo umehit views wengi bila hizo team ushenzi zenu za Tandale..hio nyimbo iko class ingine ingine kabisa. kwa hio hao views wengi ni real not fake.
 
Hahhaha hii kitu sasa nimeamini, kuna mdau aliwahi kuniambia kitu kama hiki, unatakiwa uchek video mara nyingi iwezekanavyo
 
Wabongo kwa social networks ni noma.....watu wanalaumu ila kiukweli ukiangalia kwa jicho la pili ni advantage kwetu leo Diamond anafollowers kuwazidi hata wasanii wakubwa wa Nigeria au hata sauzi ambao population yao ni kubwa kuzidi sisi

AKA ni msanii Mkubwa africa na nadhani kuzidi Diamond ila collabo yake na Diamond ndio imemfanya afikishe viewers 1 Million in one week....
 
Unatumia youtube gan mjasiliaupepo mbona ya kwangu nikiangalia haiongezeki
Dana dana soma hii comment, unaweza kupata mwanga. huyu kaelezea vizuri, hata kwenye website na blog inakuwa hivyo, ukiingia mala tano kwa siku kwa millard ayo itasoma 5visitors, japo umetumia same device
 
AKA sasa hivi kwa diamond atasubiri sana
bado tunasumbua Africa kupitia msanii mmoja tu!!! tunastahili pongezi kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…