Video ya Alicia keys na Swizz beats Wakicheza wimbo wa Meja kunta ft Im lavalava Wanga wabaya

Video ya Alicia keys na Swizz beats Wakicheza wimbo wa Meja kunta ft Im lavalava Wanga wabaya

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Ukiambiwa WCB ni kama maji usipoyaoga lazima uyanywe, Singeli imefika duniani,

Kupitia ukurasa wa Swizzbeats mume wa alicia keys amepost video ya Yeye na mkewe Alicia keys wakicheza wimbo wa Wanga wa Meja kunta na Lavalava
 
Swizz mjanja Sana, anataka kuwa relevant Tanzania. Ameangalia WCB Kuna fan base kubwa Akaona apost vipande vya nyimbo zao. Na wabongo kwa vurugu hata wasiomjua huyu Arab wamesha-mfollow tayari.
 
Swizz mjanja Sana, anataka kuwa relevant Tanzania. Ameangalia WCB Kuna fan base kubwa Akaona apost vipande vya nyimbo zao. Na wabongo kwa vurugu hata wasiomjua huyu Arab wamesha-mfollow tayari.
Humjui Alicia afu na we ni great thinker? au na we ni mjuvi wa mambo ya ulimwenguni? kweli kumejaa mitoto na mijinga jf nowadays.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom