Video ya Alicia keys na Swizz beats Wakicheza wimbo wa Meja kunta ft Im lavalava Wanga wabaya

Ndio mkuu Swizz ameanza kufanya muziki kitambo sana na nimeanza kumsikia Swizz tangia kwenye Goma la Eve -What ya want 1999 kipindi hiko Dimond anapenga makamasi na mkono lakini ndio kwanza ana followers 2.8m ,Uki interact na waafrica unapata followers bila kutumia nguvu wewe post kazi zao tu....Wewe angalia tu baada ya kupost hzo video angalia trend ya followers wake kama wapo vile vile.
Mkuu kwa mimi naamini kwa wenzetu ambao walishajiestablish kitambo na kutengeneza majina issue ya followers sio kubwa kiivo. Ukiangalia hata diamond amemzidi fat joe kwa followers lakini leo hii duniani kuna nani asiyemjua fat joe? mtu anaweza akawa ana a/c hata ya 10k followers lakini akawa verified kutokana na mchango wake kutambulika kwenye tasnia husika hivyo haitaji kuhangaikia sana followers. Nafkiri kwa sisi huku ndio tunachukulia sana serious swala la followers thou kwa upande mwingine ndio linafaida kama kufanya ads etc. Lakini naamini leo hii mfano mkongwe kama busta rhymes aachie mzigo mpya, hata angekua na followers buku tu lakini dunia nzima ingefahamu kua busta busta ameachia chuma kipya. Ni mtazamo tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roger Dat......Nimekupata Mkuu...👊👊👊 🙌 🙌.
 
Back
Top Bottom