Video ya Alicia keys na Swizz beats Wakicheza wimbo wa Meja kunta ft Im lavalava Wanga wabaya

Mkuu kwa mimi naamini kwa wenzetu ambao walishajiestablish kitambo na kutengeneza majina issue ya followers sio kubwa kiivo. Ukiangalia hata diamond amemzidi fat joe kwa followers lakini leo hii duniani kuna nani asiyemjua fat joe? mtu anaweza akawa ana a/c hata ya 10k followers lakini akawa verified kutokana na mchango wake kutambulika kwenye tasnia husika hivyo haitaji kuhangaikia sana followers. Nafkiri kwa sisi huku ndio tunachukulia sana serious swala la followers thou kwa upande mwingine ndio linafaida kama kufanya ads etc. Lakini naamini leo hii mfano mkongwe kama busta rhymes aachie mzigo mpya, hata angekua na followers buku tu lakini dunia nzima ingefahamu kua busta busta ameachia chuma kipya. Ni mtazamo tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roger Dat......Nimekupata Mkuu...πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š πŸ™Œ πŸ™Œ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…