mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Hiyo chato Nani alikuwa anataka kuifanya kuwa mkoa
Ngoja waje wapo wengi na yule mwombolezaji.Hiyo chato Nani alikuwa anataka kuifanya kuwa mkoa
Kule walimsingizia, hakutaka kabisa, sikiliza video mwanzo mwishoDuh,mbona alitaka kula matapishi yake kule Chato
Tuseme ni roho mbaya au roho mbaya? Yaani kaondoka tu wameanza kupanga wizi na ufisadi.Wana Jf
Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.
Ona wenyewe
Yaani unaambiwa gharama za kutunza mkuu wa mkoa, katibu tawala, pamoja na magari yao ya millioni 350, bado mafuta, unaweza jenga shule za primary 7Tuseme ni roho mbaya au roho mbaya? Yaani kaondoka tu wameanza kupanga wizi na ufisadi.
Are you serious!!Kule walimsingizia, hakutaka kabisa, sikiliza video mwanzo mwisho
Unakunywa mini bwashee aliyesema ni mwombolezaji sio maaskofu overAre you serious!!
Kwenye msiba wake kule Chato,Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la Rulenge -Ngara ,Mhashamu Baba Askofu Severine NiweMugizi katikati Misa ya kumuombea Marehemu JPM alisema "Marehemu alikuwa anataka Chato iwe mkoa"Mwisho wa kunukuu.
Unataka kusoma kuwa Askofu alisingizia?
Ndimi mbili. Tapeli Magufuli.Hiyo chato Nani alikuwa anataka kuifanya kuwa mkoa
Akikujibu unitag.Hiyo chato Nani alikuwa anataka kuifanya kuwa mkoa
Wanamsingizia bwana Marehemu alipinga vikari tena akawacjekesha mnaowalilia wanaenda kujaza mavitambi bure huku masekeletari wakiwapanga msururu. Na hamfikiiNdimi mbili. Tapeli Magufuli.
Ila kiswahili chako cha"hovyo" saana.Mie nashangaa viongozi wa serikali na Dini kumshambulia magufuri suala la mkoa wa chato..kama viel yeye alilifanya wakati sikweli..Shida iliyopo ni kwamba watu wamezoea eti hopsital nzuri na taasifis za elimu kama veta zinajenhwa palipo na makao makuu ya mkoa wakati yeye anaamini kuwa hata makao makuu ya wilaya unaweza kuweka kiwanja cha ndege..ukajenga hata hospal ya rufaa na ukaweka staend na Rami za kisasa.Sasa kwa kuwa kapeleka hayo amendeleo kwakwe basi watu wanamtumuhu kuwa alipeleka hivyo kwa kuwa aliamino kuanzisha mkoa..na wanaomtuhumu hivyo ni kwa sbb ya elimu ndogo ya kufikilia kuwa bila kuwa na makaomakuu ya moka basi huwezi kupeleka maendeleo sehemu husika...fikra za kijinga kabisa
Hoja ya msingi ni je, wingi wa mikoa ndio muarobaini wa maendeleo? Au ndio kuongeza mzigo wa gharama kwa serikali ? Hii dhana ya kila siku kuvunja mikoa kutengeneza mipya kwa muktadha wa kuharakisha maendeleo tumeitoa wapi? Imekaa kinadharia zaidi. Je, nchi gani iliyoendelea imefanikiwa kupitia kumega mikoa au states?Wana Jf
Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.
Ona wenyewe