Vita uloianzisha na mtoto mzuri financial services wala hatukugombelezei. Tupo back bencher huku tunakuchora tu.Wewe mtambo wako unatoa? Why umuulize mtu hivo for what? Unataka kugundua nini? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Acha hizo, umeona alivoandika ndiyo nikamuuliza hivo? Wewe unahitimisha "tamu eeh" 😏 wewe unasikiaga utamu kumbeWewe mtambo wako unatoa? Why umuulize mtu hivo for what? Unataka kugundua nini? 🤔🤔🤔🤔
Posted already 😂Financial services is typing 🤣
Wala sihitaji vita na mtu😂Vita uloianzisha na mtoto mzuri financial services wala hatukugombelezei. Tupo back bencher huku tunakuchora tu.
Posted already
Ukalele!Hivi kilichokufanya uconclude kama nasikia utamu ni nini???? Nimekwambia hivo? Kuwa mstaarabu basi
Kangi ngalele kama Simba mwenye njaaUkalele!
Ingalamu [emoji23]Kangi ngalele kama Simba mwenye njaa
Wala sihitaji vita na mtu😂
mi pia sijapenda namna alivyohitimisha, it's a personal attack asee. Aombe amani kabla hatujaanza kukupa silaha za kivita umlipue zaidi[emoji4]Wala sihitaji vita na mtu[emoji23]
Mmmh aisee ili ukale jicho no no noooooo
Sure ila muache tu mkuu, watu wanataka kuharibia watu wengine mood, ila sitoruhusu kuharibiwa mood kabisami pia sijapenda namna alivyohitimisha, it's a personal attack asee. Aombe amani kabla hatujaanza kukupa silaha za kivita umlipue zaidi[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Are you speaking from experience mkuu? Ushatest mtambo wa tigo?duh