Video ya Diamond alipozomewa usiku wa fiesta pale Leaders Club!

Video ya Diamond alipozomewa usiku wa fiesta pale Leaders Club!

imefichwa makusudi maana domo ataporomoka vibaya sana ni aibu
 
bora azomewe amezidi ila nadhani kilichofanya azomewe ni kuvaa mavazi ya jeshi letu au ni tofauti jamani
 
Haiwezekani wtz wengine wapigwe na kuburutwa kwenye madimbwi haadharani,tena kwa viboko then 2day aje msanii mtoto ktk maadili ya kitz hakuna sheria hii ya kudhalilisha vazi la jwtz kukatia mauno hadharani'.
GK ali fanya ngoma moja na gwamba wali mmind kichizi mpaka akaomba radhi."
So I dnt knw Nasibu ni nani?,amrudie baba yake kumuomba radhi coz mzazi ni mzazi tu ktk life hili by.nyau.com
 
Inawezekana akapatwa na majanga mengi xna".
Wapende na wasemehe wazazi wako wote wa2...my friend."
 
Hivi huyo Diamond bado anafanya music,?eeh au anafanya fani nyingine?mlioko TZ hebu mnijuze
 
mi naona hazomewe tu mana nyimbo nzuri yy, tuzo yy 2,video kali yy 2,kolabo za nje yy 2,matamasha ya hela yy 2,yaani hata hashuki bora tuzomee tu.
 
Back
Top Bottom