Video ya Diamond ya wimbo ‘Salome' yafikisha views milioni 1 YouTube ndani ya siku 2

Hivi wasanii wanapata faida gani katika huo mtandao wa youtube.....?
 
Video nzur ila wameharib Bibi mmoja na mjukuu wake wapo humo sijui wamewaweka wa nin wameharibu tu video ya watu
 
Wimbo mzuri video nzuri ila haya maneno haya"ukichungulia chini ukimuona jongoo inama kidogo ushike magoti,nisimame kama ngongoti sijui,"duh yameniacha hoi
 
Mimi nimeingalia nimeipenda ila nimesahau kui like.
 
Nimeupenda kweli huu wimbo na video yake kasoro mavazi...
Kwanini wavae mavazi ya wanaijeria kama ni wimbo wa kitamaduni? Au sikuelewa vizuri!!!?
 
Mfano me hyo video nimeikubali lkn sijalike.... sio wote wanaohangaika na like/dislike na km ndio hvyo still bado yupo juu coz naamini hao elfu1 ...800 ni wa kiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Rais wa wasafi ajaribu na urais wa jmt 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…