Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Hivi wasanii wanapata faida gani katika huo mtandao wa youtube.....?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa ushaambiwa "wenye wivu wajinyonge kweli"Video nzur ila wameharib Bibi mmoja na mjukuu wake wapo humo sijui wamewaweka wa nin wameharibu tu video ya watu
Wanapiga hela ndefu sana kulimgana na idadi ya viewersHivi wasanii wanapata faida gani katika huo mtandao wa youtube.....?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfano me hyo video nimeikubali lkn sijalike.... sio wote wanaohangaika na like/dislike na km ndio hvyo still bado yupo juu coz naamini hao elfu1 ...800 ni wa kiba
haha hata ALLY KIBA NIMEONA LIKE YAKE PALEMfano me hyo video nimeikubali lkn sijalike.... sio wote wanaohangaika na like/dislike na km ndio hvyo still bado yupo juu coz naamini hao elfu1 ...800 ni wa kiba
Vyote xawaPamoja na hayo waloupenda ([emoji106] ) ni 14,283 na waliokuwa kinyume ([emoji107])ni 1,295.
Hii ina maanisha ni nzuri au watu walikuwa na shauku ya kuuona?
[emoji124]wimbo nimbayamzuri kinoma