Video ya inama ya Daimond na Fally Ipupa ni moja ya video mbaya ingawa wimbo mzuri

gebu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
402
Reaction score
246
Napenda mziki mzuri na video nzuri.kwa ufupi Hawa jamaa(Diamond na Fally Ipupa)wanajua Sana kuimba na kutoa video kali Sana ila ya inama ni video mbaya Sana labda walikua wanaogopa kufunikana.Quality mbovu mataa mengi,rangi nyingi hujui mchana na usiku ni upi,Fally sio yule tunayemjua wa bakanja,mama nangaye nafeli Moto au wa eloko oyo,ecole,original, bicarbonate,sopeka au power001.wote wamezingua Sana.huu wimbo wangeutendea haki ungekua wimbo wa taifa
 
Ngoja uitwe "hater" na timu za watu ambazo hata ligi kuu hazishiriki
 
Kwenye tuzo za Afrimma imeingia kwenye category ya best video of the year Sasa wewe na waandaji Nani ana akili lakini pia ndio video yenye viewers wengi kuliko video yoyote ya east Africa kwa mwaka huu Ina viewers mil 15.
msemaji wa chibu kama kawaida yako!
kuhusu kuwa na viewers wengi sio kipimo cha video nzuri.
watu wameenda kuangalia video kutokana na msukumo wa uzuri wa audio na sio video.
pili kwa mastaa kama wale wawili wakikutana lazima video ipate viewrs wengi kutokana na fanbase walionayo.nafkiri tena zilitakiwa ziwe zaidi ya hizo!
tatu hao afrimma mara nyingi wanaendaga na kitu kinachokiki..ioama audio ni kali ila kiuhalisia video haijatendewa haki. usishangae diamond akachukua kwa upande wa ea/africa tu japokuwa inama imetrend africa nzima!
nne iweje umuite mwenzako hana akili ikiwa katoa maoni yake kama ulivyotoa wewe?

tano.. ntashangaa sana ikiwa diamond mwenyewe hata hakujui maana sio kumshobokea huku..
 
True mkuu video wamezingua marangi rangi mengi sana yameboa.. na nguo pia diamond kazingua kavaa kama underground vile..
 
Ahaaaah yani unasema nyimbo kuwa na views wengi sio kipimo cha ubora wa video gubu litakukaba roho utakufa bure kwa pumu inama is the best for each and everything.
 
Ahaaaah yani unasema nyimbo kuwa na views wengi sio kipimo cha ubora wa video gubu litakukaba roho utakufa bure kwa pumu inama is the best for each and everything.
likichwa lako halijaelewa nilichoandika
sijakuita toka hapa mbele yangu!
 
Wewe hi 'hater'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…