Napenda mziki mzuri na video nzuri.kwa ufupi Hawa jamaa(Diamond na Fally Ipupa)wanajua Sana kuimba na kutoa video kali Sana ila ya inama ni video mbaya Sana labda walikua wanaogopa kufunikana.Quality mbovu mataa mengi,rangi nyingi hujui mchana na usiku ni upi,Fally sio yule tunayemjua wa bakanja,mama nangaye nafeli Moto au wa eloko oyo,ecole,original, bicarbonate,sopeka au power001.wote wamezingua Sana.huu wimbo wangeutendea haki ungekua wimbo wa taifa