Video ya Jux 'Sisikii' na ya Mwana FA 'Kiboko yangu' zote zinapishana maneno

Video ya Jux 'Sisikii' na ya Mwana FA 'Kiboko yangu' zote zinapishana maneno

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Jamani it's damn 2015 na bado directors wa videos Tanzania wana direct videos ambazo hziendani na maneno ...Yani sehemu wanazoimba na video haziambatani it's like ni nyimbo tu then video imetengenezwa blindly.

Jirekebisheni mnatia aibu ki shenzy.
 
Hebu iweke post vizuri na mfano hai tuweze kuchambua
 
Katika video ulizo zitaja hakuna director mtanzania aliye husika!
 
Ni kweli kabisa tena video ya kiboko yao Ali ndio anashangaa camera kabisa sasa unajiuliza 2015 bado mtu anashangaa camera. Ila director ni mkenya.
 
Back
Top Bottom