PreGE2025 Video ya kesi ya Lissu Mahakama ya Kisutu May 19, 2025 ilifutwa, huenda watafuta na ya leo pia. Kwanini tunyimwe taarifa?

PreGE2025 Video ya kesi ya Lissu Mahakama ya Kisutu May 19, 2025 ilifutwa, huenda watafuta na ya leo pia. Kwanini tunyimwe taarifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya nje pekee lakini ndani ya chumba cha mahakama iliondolewa.

Nilitaka kuweka uzi lakini waliirudisha, nilisahau kurudi tena kuangalia, leo naangalia haipo, naona walijisahau halafu wakainuwa mazima baada ya kuwa wengine wote washaambiwa waitoe.

Screenshot ya page yao hiyo hapo, video haipo

IMG_20250602_111342_792.jpg

Kwanini hili linafanyika? Hamtaki tuwe na rekodi ya upuuzi huu mnafanya ambao hata mtoto mdogo anawashangaa?

Najua mtakuja oooh si ilikuwa live, ndio kwanini iondolewa baadaye? Si kila mtu aliweza kuangalia wakati huo, na mtandao ulikuwa ovyo sana, kwanini umnyime mtu haki ya kurejea hapo?
 
Back
Top Bottom