Video ya Kokoro yazichezea sharubu za ‘simba’ aliyekuwa usingizini (BASATA), ladai litatoa tamko

Video ya Kokoro yazichezea sharubu za ‘simba’ aliyekuwa usingizini (BASATA), ladai litatoa tamko

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Rich Mavoko na Diamond Platnumz wamezichezea
sharubu za simba mkali aliyekuwa usingizini. Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limehisi kuna
udhalilishwaji wa wanawake kwenye video hiyo
na limesema litatoa tamko lake iwapo litaifungia
video hiyo au lah! “Ktk kusimamia maadili ktk Sanaa & udhalilishaji
wanawake tuko thabiti.Video ya [HASHTAG]#kokoro[/HASHTAG] ya #
Mavoko inapitia uhakiki.Taarifa itatoka,”
limeandika baraza hilo kwenye akaunti yake ya
Twitter. Video ya wimbo huo iliyofanyika nchini Afrika
Kusini inaonesha wanawake waliopo kwenye
Jacuzzi huku maziwa yao yakiwa wazi licha ya
kupakwa rangi ya dhahabu. Pia wanaonekana wanawake wakikata viuno vya
haja!
 
Kama video inawadhalilisha wanawake, je hao wacheza choo...sorry, shoo huwa wanachukuliwa hatua gani?
 
Back
Top Bottom