Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

jamaa ameandika kwa hisia kali sana ukweli i wish ungekua kiongozi katika mamlaka ya maamuzi najua ungekufa mapema sana[emoji22]kiukweli sijawahi kuwapenda warabu katika maisha yangu yote na wajue kua nawachukia hatari
Mkuu moyo wangu umelipuka sio siri wanawapiga wakiwafosi wameze uharo lasivyo warudishe pesa. Wakimeza yanawacheka kwakuwamwagia mikojo. Wallllahh ningekuwa nina power hawa wapuuzi ningewapa masaa 12 wawe wameondoka bongo lasivyo mambo yangekuwa moto [emoji91]
 
jamaa ameandika kwa hisia kali sana ukweli i wish ungekua kiongozi katika mamlaka ya maamuzi najua ungekufa mapema sana[emoji22]kiukweli sijawahi kuwapenda warabu katika maisha yangu yote na wajue kua nawachukia hatari
Punguza ujinga hao wanawake hawajashikiwa dunduki bali wamefanya kwa tamaa za pesa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani tatizo nini? Mimi naamini umasikini na kupenda makubwa kuliko uwezo wako ndio chanzo.
Hapana mkuu kwani huko Dubai hakuna waarabu masikini wa kike, kwanini wasiwachukue hao, halafu Dada zetu sijui wakoje jamani dah [emoji22] [emoji24][emoji24][emoji24]yani anaweza kukukataa wewe ila akaja mwarabu akagonga mzigo free.
 
Ukiwa na tabia ya kupenda miteremko ndio mdhara yake hayo.
Wanawake wamekuwa na tamaa iliyo vuka mipaka ngoja watiwe adabu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nisikilizie maoni ya wadau kuhusu huo mpunga.

NB: Kwa Dunia ya sasa, hamna mtu atapigania utu wako isipokuwa wewe mwenyewe
Huu ndio ukweli wenyewe tamaa sio nzuri
 
Ahse mkuu utu ni bora zaidi kuliko hayo makaratasi, vitendo wanavyofanyiwa hata mbwa mwenye njaa kali hawezi kukubali
 

Kwenye picha hapo is that 💩💩?
 
Hao waarabu wapo sahihi kabisa..sisi wafrika ni wajinga kabisa tuna kila aina ya mali lakn tumekua fukara wa kutupwa,mfano TZ tuna almas,dhahabu,ruby,tanzanite,mbuga za wanyama,maziwa,mito ya kutosha,gesi na mambo mengi siwez kuandika hapa lakn ndan ya nchi yetu hii tunaletewa umaskn na viongoz wetu,hakuna tunachokosa leo tumekua ombaomba..basi niishie hapo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…