Mkuu usiamini kila kitu mtandaoni ,na coprophilia si herpatitis ila inaweza kuwa sababu ya kupata herpatitis hasa B type kama mmoja wapo atakuwa ameathirika.
Ila coprophilia hii ni hali ya mtu kujihisi hisia za mapenzi zaidi kama akiona partner wake (either ke au me) akiwa katika hali ya uchafu hasa akiwa amejipaka kinyesi au amejisaidia hajajisafisha sasa yeye ndo inampandisha mzuka haswaa .
Wengi wanaenda mbali hadi kujipaka na hata kula kabisa fuatilia video inaitwa "Two girls one cup" iliwahi ku trend sanaa ikiwaonesha dada wawili wakifanya vitendo vya kichafu ikiwemo kula kinyesi na matapishi though sasa hivi imepotea mtandaoni kabisa.
Ila haya mambo yapo na katika hao wanaofanya licha ya kulipwa wengi ni fantasy zao na wengine ni just curiosity zao zimewaponza.