Hujaiona hio video ndomana unasema hivyo, mm nimeingalia mpaka mda huu akili yangu haipo Sawa ngozi nyeusi tunazaraulika every angle of this stupid earth yani mdada anamiminiwa uharo wote unapitia mdomoni mpaka tumbon anaumeza [emoji22], mbaya saizi sisi Waafrika hatujipendi na hatupendani mfano mm jana nilikuwa nimekaa restaurant flani ipo mikocheni kupata juice [emoji3047] na chakula ila chaajabu wakaja waarabu pale wakamwambia muhudumu wanataka kukaa nilipokaa mm kwahiyo muhudumu akaja akasema niondoke ili wao wakae ilihali mm ndowamenikuta na wote ni customer hakuna beggars Sasa nikamwambia sinyanyuki wewe nipe chakula Nile niondoke yule Dada ikabidi inifokee ati mbona mm sio mwelewa, nikaona sio kesi nikaondoka zangu nikaona wale waarabu wameenda kukaa.
Sio ajabu kabisa kupita manzese ukaona ngozi nyeusi anazaririshwa na mzungu au any white man afu wa swahili wenzako wakamtetea mzungu this is why maeneo mazuri kama Masaki na oysterbay wanakaa foreigners ila sisi Tupo tandika na manzese hata ukienda maeneo ya mjini let say kariakoo, posta, upanga na kisutu more than 90% wanakaa wahindi sio sisi wenye nchi. So sad but days are coming where no body will accept this stupidity maana nchi itafurika damu na anga itakuwa na wingu Zito lenye radi kali huku watu wakidai haki zao including human dignity and right to privacy maana we are bullied to the extent, ipo siku tu ninaamini mioyo ya wanadam itatamani kufa kuliko kuishi kwa hofu na udharirishwaji ambapo risasi na gas wataziona ni maji ya baridi tu maana hakuna mwenye kuzuia hisia za wananchi kama wananchi wakaamua kuisaka haki yao iliyoporwa na wahuni wenye vitengo vikubwa serikalini huku hakuna wanachokifanya, ni majambazi yaliyojivika koti la uongozi lakini inabidi wao ndowaende jera panyaroad wapate ajira. Hakuna jeshi, polisi, mahakama wala chombo chochote cha dola kinachoweza kuzuia will of the people. Ipo siku hata mama mjamzito aliyeko Leba atakuja barabarani kuandamana no matter ni vitisho vingapi vitatolewa and will be the red genocide ever. Africa tutakombolewa na wa africa not whites.