Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

Hakuna jipya hao ni wale wadada wanaopenda mserereko kwenye maisha na ukiwaona walivyo na nyoda huwezi amini leo hii unatumia mda wako kumtetea MTU ambae hata mkikutana ataishia kukunyali kukudharau na kukukosea heshima, achana nao, narudia tena achana nao, narudia achana nao!!!

Ni maisha waliyoyachagua viongozi wa kiafrika wana mambo mengi ya kutetea ila siyo makubaliano ya MTU na MTU over!
 
Hakuna jipya hao ni wale wadada wanaopenda mserereko kwenye maisha na ukiwaona walivyo na nyoda huwezi amini leo hii unatumia mda wako kumtetea MTU ambae hata mkikutana ataishia kukunyali kukudharau na kukukosea heshima, achana nao, narudia tena achana nao, narudia achana nao!!!

Ni maisha waliyoyachagua viongozi wa kiafrika wana mambo mengi ya kutetea ila siyo makubaliano ya MTU na MTU over!
Hujaiona hio video ndomana unasema hivyo, mm nimeingalia mpaka mda huu akili yangu haipo Sawa ngozi nyeusi tunazaraulika every angle of this stupid earth yani mdada anamiminiwa uharo wote unapitia mdomoni mpaka tumbon anaumeza [emoji22], mbaya saizi sisi Waafrika hatujipendi na hatupendani mfano mm jana nilikuwa nimekaa restaurant flani ipo mikocheni kupata juice [emoji3047] na chakula ila chaajabu wakaja waarabu pale wakamwambia muhudumu wanataka kukaa nilipokaa mm kwahiyo muhudumu akaja akasema niondoke ili wao wakae ilihali mm ndowamenikuta na wote ni customer hakuna beggars Sasa nikamwambia sinyanyuki wewe nipe chakula Nile niondoke yule Dada ikabidi inifokee ati mbona mm sio mwelewa, nikaona sio kesi nikaondoka zangu nikaona wale waarabu wameenda kukaa.
Sio ajabu kabisa kupita manzese ukaona ngozi nyeusi anazaririshwa na mzungu au any white man afu wa swahili wenzako wakamtetea mzungu this is why maeneo mazuri kama Masaki na oysterbay wanakaa foreigners ila sisi Tupo tandika na manzese hata ukienda maeneo ya mjini let say kariakoo, posta, upanga na kisutu more than 90% wanakaa wahindi sio sisi wenye nchi. So sad but days are coming where no body will accept this stupidity maana nchi itafurika damu na anga itakuwa na wingu Zito lenye radi kali huku watu wakidai haki zao including human dignity and right to privacy maana we are bullied to the extent, ipo siku tu ninaamini mioyo ya wanadam itatamani kufa kuliko kuishi kwa hofu na udharirishwaji ambapo risasi na gas wataziona ni maji ya baridi tu maana hakuna mwenye kuzuia hisia za wananchi kama wananchi wakaamua kuisaka haki yao iliyoporwa na wahuni wenye vitengo vikubwa serikalini huku hakuna wanachokifanya, ni majambazi yaliyojivika koti la uongozi lakini inabidi wao ndowaende jera panyaroad wapate ajira. Hakuna jeshi, polisi, mahakama wala chombo chochote cha dola kinachoweza kuzuia will of the people. Ipo siku hata mama mjamzito aliyeko Leba atakuja barabarani kuandamana no matter ni vitisho vingapi vitatolewa and will be the red genocide ever. Africa tutakombolewa na wa africa not whites.
 
Hahah ukienda uarabuni halafu Ni mweusi halafu Ni mkristo wanaweza hata wakakugeuza supu
 
mkuu vipi kuingiziwa kitu kigumu cha moto kwenye puru kwa gharama ya $$$ kidogo tu za kutuma nyumbani vs hiyo video ya kunyewa mdomoni
 
Hahah ukienda uarabuni halafu Ni mweusi halafu Ni mkristo wanaweza hata wakakugeuza supu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utajiua kwa msongo mkubwa wa mawazo nandomana kila siku kule Dubai na uarabuni Waafrika wanajirusha magorofani wanakufa
 
Hata sura haijaonekana mkuu kwa hiyo naku na anaejua

Kweli wewe unajitambua,,,lakini kuna wengine humu wamekimbilia kuwashutumu jamii flani bila kuwa na uthibiti wowote,,,
 
Ggreat
Kuna video imesambaa sana kwenye social network especially Twitter. Ambayo kwa mtu yoyote akiitazama kwakweli itamharibia siku.

Katika video hiyo fupi ya dakika kadhaa inamuonyesha mwanadada wa kiafrika akiwa chini ya makalio ya mwanaume mwenye asili ya kiarabu, akipokea gogo (haja kubwa) mithiri ya mtu aliyebombani amekinga mdomo kupokea maji.

Video hiyo mbali na kuonyesha uchafu huo inadhihirisha ni namna gani dada zetu wanadhalilishwa utu wao na kushushwa hadhi na jamii ya watu wa Arabuni.

Kwa mujibu wa wachangiaji wa comments, inasemekana video hiyo imerekodiwa huko Dubai na inasemekana ama kusadikika kuwa wadada hao wamesheriki video hiyo kwa malipo ya kiasi cha fedha ikiwa namna yao ya kujitafutia kipato na fedha kubwa kwa namna ambayo wao wameona ni rahisi.

Nategemea taasisi, asasi na hata mamlaka za kiserikali popote pale hapa duniani zitafuatilia kwa kina ili ukweli wa kina uweze kubainika juu ya video hiyo na wahusika walioshiriki na kushirikishwa waweze kuhojiwa na kubaini haya mambo hutokea katika mazingira gani na makubaliano gani.

Lakini pia wahusika kuchukuliwa hatua kwa kukiuka haki za kibinadamu kwa kumlisha mwanadamu mwingine kinyesi chake bila kuzingatia madhara ya kiafya ambayo yangeweza kumkuta muhusika au wale wanaomzunguka.

Natamani kuiweka hapa ila sina uhakika kama sheria za JF zinanipa kibali kufanya hivyo.
Thinkers
 
Ni video ya ngono inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha Dada zetu huko Dubai wakiwa wako kwenye sex huku waarabu wakiwanyea mdomoni nakumeza uharo wote mpaka unaisha bado haitoshi wanakojolewa na mikojo ya waarabu hawa wenye fedha za kuchezea ili tu kudharirisha Dada zetu.

Imeniuma sana kuona hii video Dada anakinga mdomo kwenye mkund** wa mwarabu halafu Mavi yote yanaingia mdomoni na kumeza huku waarabu wakimcheka. Ni huzuni kwakweli natusipo paza sauti kama Waafrika tutazidi kudharaurika maisha yetu yote.

Hawa waarabu wana dharau sana iwe kwao au ugenini afu pia sisi ngozi nyeusi hatupendani for sure. Mfano mm jana nilikuwa maeneo ya mikocheni nikaenda restaurant moja ipo pembezoni mwa barabara nikaketi kupata lunch. Wakaja waarabu wanne nao wanataka chakula Sasa wakamwambia muhudum kuwa wanataka kukaa nilipo mm kwahiyo yule mhudumu akaja akasema ninyanyuke ili wao wakae ilihali mm ndowamenikuta, mimi nikakataa nikasema sinyanyuki maana hapa nimechagua kwenye upepo kule siendi kukaa Kuna jua. Yule mdada akafoka kwa sauti ati kaka kuwa mwelewa hutaki ondoka. Nikasema sio kesi nikanyanyuka nikasepa nikaona wale waarabu kwa tabasamu wakakaa nilipokuwa nimekaa huku muhudum akiwapa tabasamu la meno 32. Nilijisikia vibaya sana kuona Waafrika hatuheshimiani niliondoka kwa sonona moyo wangu uliumia zaidi ya aliyechomwa mkuki kwenye jicho.

Waafrika tumekuwa wahanga wa maisha magumu yenye fedheha kokote kule duniani. Hata hapa bongo bado tunakuwa treated differently na ngozi nyeupe, hata sehemu nzuri za makazi ya watu kama masaki na oysterbay wanakaa foreigners ukikatiza saa sita usiku unakamatwa na askari unaitwa mzururaji au kibaka ila akipita mzungu saa sita usiku atapigiwa salute kama zote. Sehemu za mijini kama kariakoo, upanga, kisutu na posta wanakaa wahindi na waarabu sisi wenyeji tumerundikana tandale, manzese, mwananyamara, temeke na mabondeni kwenye mafuriko na ukihitaji kukaa mjini utatafuta appartiment hupati ng'o.

Ona tu hata hii issue ya makonda kupokonywa lile ghorofa na wale waarabu, utakuta 90%ya wabongo wanamuandama makonda na kumtetea mwarabu jambo ambalo ukienda uarabuni ngozi nyeusi kupata ardhi ni ndoto za bunuwazi. Kule kwao wewe ngozi nyeusi huwezi ishi kwa fraha maana utatengwa, chakula cha Leo hupewi unapewa cha Jana au juzi kilichopo kwenye frizer, hutumii vyoo vyao unapewa lichoo la kulenga. Yaani ni tabu tupu.

Ila ipo siku Afrika itapata tu nuru ya ukombozi pale ambapo mioyo yetu itaishinda tamaa ya mwili na fedha nakujikita kwenye utu na haki. Maana viongozi wenyewe tulionao wameamua kula keki ya taifa wenyewe tuna viongozi majambazi, wahuni, matapeli watupu ambao ingebidi wawe gerezani kwani wamevaa koti la uongozi tu lakini for sure ni matapeli na wabinafsi.

Afrika itakombolewa na Waafrika wenyewe. Poleni sana Dada zetu kwa mateso mnayopitia binafsi nimejihisi uchungu sana kuona hii video ya kinyama isiyo jali utu [emoji22]. Dada zetu poleni sana ipo siku tu tutakuwa huru na kila kitu tutajitegemea wenyewe bila kuhitaji msaada wa watu weupe.
 
Kwa maoni yangu ishu hapa ni swara la pesa imekuwa fimbo husipokiwa na pesa heshima kuipata dunia hii sio rahisi mfano hapo ulipokuwa umekaa angekaa mtu Kama dangote huyu muudumu sidhani Kama angemnyanyua japo haipendezi yafaa kukemewa
 
Back
Top Bottom