Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hapana mkuu nimeiona telegramMkuu sio ulikuwa unaangalia Porn ukakutana nayo mtandaoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu nimeiona telegramMkuu sio ulikuwa unaangalia Porn ukakutana nayo mtandaoni.
Ingia telegram afu andika Porta potty dubai utaiona. Zipo nyingi sana Kuna nyingine Dada zetu wanapigwa miti na mbwa [emoji22], nyingine inaonesha waarabu wanakojoa kwenye kikombe nakikombe kikijaa mikojo wanawapa Dada zetu washushie na uharo [emoji22] malipo ni kwa wiki dollar 50000. Ni kama million 120 za kibongo.Mkuu sio ulikuwa unaangalia Porn ukakutana nayo mtandaoni.
Umeongea kwa uchungu Sana,Hujaiona hio video ndomana unasema hivyo, mm nimeingalia mpaka mda huu akili yangu haipo Sawa ngozi nyeusi tunazaraulika every angle of this stupid earth yani mdada anamiminiwa uharo wote unapitia mdomoni mpaka tumbon anaumeza [emoji22], mbaya saizi sisi Waafrika hatujipendi na hatupendani mfano mm jana nilikuwa nimekaa restaurant flani ipo mikocheni kupata juice [emoji3047] na chakula ila chaajabu wakaja waarabu pale wakamwambia muhudumu wanataka kukaa nilipokaa mm kwahiyo muhudumu akaja akasema niondoke ili wao wakae ilihali mm ndowamenikuta na wote ni customer hakuna beggars Sasa nikamwambia sinyanyuki wewe nipe chakula Nile niondoke yule Dada ikabidi inifokee ati mbona mm sio mwelewa, nikaona sio kesi nikaondoka zangu nikaona wale waarabu wameenda kukaa.
Sio ajabu kabisa kupita manzese ukaona ngozi nyeusi anazaririshwa na mzungu au any white man afu wa swahili wenzako wakamtetea mzungu this is why maeneo mazuri kama Masaki na oysterbay wanakaa foreigners ila sisi Tupo tandika na manzese hata ukienda maeneo ya mjini let say kariakoo, posta, upanga na kisutu more than 90% wanakaa wahindi sio sisi wenye nchi. So sad but days are coming where no body will accept this stupidity maana nchi itafurika damu na anga itakuwa na wingu Zito lenye radi kali huku watu wakidai haki zao including human dignity and right to privacy maana we are bullied to the extent, ipo siku tu ninaamini mioyo ya wanadam itatamani kufa kuliko kuishi kwa hofu na udharirishwaji ambapo risasi na gas wataziona ni maji ya baridi tu maana hakuna mwenye kuzuia hisia za wananchi kama wananchi wakaamua kuisaka haki yao iliyoporwa na wahuni wenye vitengo vikubwa serikalini huku hakuna wanachokifanya, ni majambazi yaliyojivika koti la uongozi lakini inabidi wao ndowaende jera panyaroad wapate ajira. Hakuna jeshi, polisi, mahakama wala chombo chochote cha dola kinachoweza kuzuia will of the people. Ipo siku hata mama mjamzito aliyeko Leba atakuja barabarani kuandamana no matter ni vitisho vingapi vitatolewa and will be the red genocide ever. Africa tutakombolewa na wa africa not whites.
Sijasema watanzania. Ni Waafrika mkuu Africa is one this borders were brought by whites just to make us weak and not unity into one country.Umejuwaje kama ni Watanzania? Lete evidence.
[emoji22]Uuuuwi kyara! Jaman [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Ndoivo umasikini brooKwa maoni yangu ishu hapa ni swara la pesa imekuwa fimbo husipokiwa na pesa heshima kuipata dunia hii sio rahisi mfano hapo ulipokuwa umekaa angekaa mtu Kama dangote huyu muudumu sidhani Kama angemnyanyua japo haipendezi yafaa kukemewa
Hao akima dada hawajatekwa hata tukipaza sauti ni bure zaidi wataliwa kwa kificho siku zote.Hapana mkuu nimeiona telegram
Hapana sio kweli, kwani hakuna waarabu masikini?. Mbona hawatumikishwi kipumbavu kama sisi.Umaskini na kutaka makuu ndio chanzo.
Umaskini wa namna hii unaendekezwa natamaa watu wanatamaa kufanya kitu Kama icho lazima uwe nakiwango kikubwa sana Cha tamaaNdoivo umasikini broo
Wanadanganywa tu kuwa Kuna kazi kumbe wakifika mambo yanageuka
Mm naapa kwanzia leo sitaki mazoea na waarabu maana nitakuja wapa zauso niende jera haki yanani hawa watu ni mafirauni hadi kinyaa. [emoji35]Hao akima dada hawajatekwa hata tukipaza sauti ni bure zaidi wataliwa kwa kificho siku zote.
Dada zetu wanapenda pesa za mteremko kuliko chochote.
Nashauri wanaume tujitahidi sana kuwasomesha binti zetu.
Tukiwa na uwezo tusiache kuwasapoti hadi watengamae kiuchumi.
Hii inauma na inaudhi sana.
Ngoja nisikilizie maoni ya wadau kuhusu huo mpunga.Ingia telegram afu andika Porta potty dubai utaiona. Zipo nyingi sana Kuna nyingine Dada zetu wanapigwa miti na mbwa [emoji22], nyingine inaonesha waarabu wanakojoa kwenye kikombe nakikombe kikijaa mikojo wanawapa Dada zetu washushie na uharo [emoji22] malipo ni kwa wiki dollar 50000. Ni kama million 120 za kibongo.
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Inaumiza mm tangu nione hii video moyo wangu umeraruka staki hata kutoka nje maana nina hasira zaidi ya simba aliyekosa kitoweo.Umaskini wa namna hii unaendekezwa natamaa watu wanatamaa kufanya kitu Kama icho lazima uwe nakiwango kikubwa sana Cha tamaa
Unadhani tatizo nini? Mimi naamini umasikini na kupenda makubwa kuliko uwezo wako ndio chanzo.Hapana sio kweli, kwani hakuna waarabu masikini?. Mbona hawatumikishwi kipumbavu kama sisi.