Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Ni balaa . Huu nao ni uzi tayari.Hivi taifa letu limekumbwa na nini?
Atamim nimeliona iloVideo quality 0
Atamim nimeliona ilo
Mpwaaa za sikuVideo quality 0
Mpwaaa za siku
Mnavyomdiss mnazidi kumuongezea views tu huko YouTube
Wabongo kuiga iga ndio zetu..hiyo baba lao yenyewe kuanzia audio mpaka video ina mahadhi ya YOPE.....
Tujifunze kuwa tunasema kweli hata kama ukweli unauma
Viewers zinasaidia nini? Less than $1 per 1,000 views?
Usijekuamini kwamba wasanii wanapata hela kutoka YouTube, ni kiwango kiduchu sana akitoshi ata kununua Tecno K7.