Video ya kusikitisha ya Rah P Akielezea Alivyoteswa na Kuzalishwa Watoto Wawili Marekani

Video ya kusikitisha ya Rah P Akielezea Alivyoteswa na Kuzalishwa Watoto Wawili Marekani

Mi naona kama anatafuta kick tu! kusupport track yake! Muuza unga for years mke wake lazima ajue kutokana na nature ya biashara yenyewe. kuna ka ukweli hakasemi! sababu siri yake...
Umesoma hii post ni ya mwaka gani?
 
Hila Rah P ni mkaree, still looking stunning with superb rapping ability, I like your confidence , kila la heri mama
 
Dah anasikitisha sana ,anaongea kwa hisia mpaka analia ,kaacha shule kisa jamaa gani sijui alifall naye ,
Kumbe jamaa ni zungu la unga
Hapa ndio naposhindwa kuwaelewa baadhi ya wanawake anaacha ku persue dreams zake kisa mwanaume

Ila Kingereza chake kitamu kweli huwezi fikiri ni msukuma huyu


Sijui mdogo wake Caren Peyton kamaliza chuo pia


Usa baby

Siku nyingine mkikumbana na hayo rudini nyumbani na Marekani ndio hivyo haruhusiwi kufanya kazi popote

Nyumbani ni nyumbani tu
Ukiangalia maamuzi hayakuwa mabsya , aliamini skifika US atasoma bahati mbaya jamaa yake hakumsupport
 
Back
Top Bottom