Video ya Mboso 'Maajabu'

Me nimeshidwa kuweka video please mwenye uwezo anaweza kuweka
 
fundi mboso.......Mboso anajua sana kucheza na camera anajua pia kutunga...pia nampongeza aliyemshauri aimbe aina hizo za nyimbo......video kali sana.......

Hakika wale wacheza Rhumba wanalo la kujifunza..... mtu wimbo unaitwa rhumba ata kujitikisa hata kidogo mnashindwa halafu kweli mtaweza shindana na vijana wa Diamond?
 
Ukiacha mambo ya uteam sijui nini binafsi wale vijana wa Kiba wananikera sana kwa ule uimbaji wao,huwez kuskiliza wimbo mara mbili,inabid wabadilike jinsi ya kuimba yan ni full distortation....
 
Video nzuri sana ila mbona nyimbo inaelekeana na ule 'nalegeaaa nikitazama yako macho,yako machoo'
Rafiki najua hobby zako zote! Ya kwanza ni mziki ikifuatiwa na mboo![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rafiki najua hobby zako zote! Ya kwanza ni mziki ikifuatiwa na mboo![emoji23][emoji23][emoji23]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bebe rafiki si unajua hivyo vitu vina some connections...mziki+sex πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

wanashindana?

unajua hata wewe ukianza kuimba leo ba sauti yako kama chura, utapata washabiki mpaka wa kujiua
 
wanashindana?

unajua hata wewe ukianza kuimba leo ba sauti yako kama chura, utapata washabiki mpaka wa kujiua
Waberoa inaonekana unampenda kiba bahati mbaya anawaangusha kingine kinachomwangusha kushindana na diamond aka maji marefu
 
Melody haibadiliki nae tutamchoka soon kama aslay...
 
Waberoa inaonekana unampenda kiba bahati mbaya anawaangusha kingine kinachomwangusha kushindana na diamond aka maji marefu

why Kiba? wanamuziki kibao wako akina Ney, marioo, timbulo, ruby, Nandy...n.k

Music is a brain sailojy.ukisema unampensa Diamond kwa ushabiki una tatizo wewe na sio diamond

Muziki kamwe, kamwe sio wa kushindanisha watu maana una ladha, maadhi na rythim tofauti ya mtu mmoja na mwingine

mimi ni mpenzi wa alikiba, ila sio eti wa kushindanishwa na fulani that will be wrong na against human nature

akiimba hapa barnaba, harmonize, issa mashauzi yu get nice feelings hata kama wewe sio fan wa hao

mpenzi ni yule hajali katoa muziki mbaya au mzuri!


Ali kiba ashashindanishwa na wangapi? tangu anaanza kama kumi hivi!!


Leo Ali Kiba akitaka kufanya kama Diamond atatupoteza sisi fans wake!..he is best as he is now with his music and caliber!

brains za watanzania ziko kushoto kidogo!..hauwezi ukasema au kuwaza beyonce ashindane na alicia keys, au enzi hizo whitney na mariah carey au celin dioni

kila mmoja ana ladha yake, utamu wake..

Na nasikiliza sana nyimbo za diamond, kuliko wewe.huu wa Inama mzuri, the one ulikuwa bomu(japo uliuona mzuri)

Kingine you will never hear people dansj kwangaru now!..ila utaona wanaimba cinderela hata leo hii au single boy...why? miziki ya mzuka/vibe/entertainment ina short life spans..miziki isiyo na mzuka ina longlife span..Kiba miziki yake inaishi, kubali kataa
 
Kajamaa kanapenda uandishi wa matusi sema kanajua kufumbafumba..
 
NILISEMA NA NARUDIA KUSEMA... HILI JAMAA NI CHOKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…