Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbosso fundi Sana big up Sana enjoy kazi nzuri imeshootiwa Morocco na imedirectiwa na Kenny zoom production kutoka wcb
Write your reply...
nauza faru!
nimempa jina kama la "supika"
Mbosso fundi Sana big up Sana enjoy kazi nzuri imeshootiwa Morocco na imedirectiwa na Kenny zoom production kutoka wcb
Ukiacha mambo ya uteam sijui nini binafsi wale vijana wa Kiba wananikera sana kwa ule uimbaji wao,huwez kuskiliza wimbo mara mbili,inabid wabadilike jinsi ya kuimba yan ni full distortation....fundi mboso.......Mboso anajua sana kucheza na camera anajua pia kutunga...pia nampongeza aliyemshauri aimbe aina hizo za nyimbo......video kali sana.......
Hakika wale wacheza Rhumba wanalo la kujifunza..... mtu wimbo unaitwa rhumba ata kujitikisa hata kidogo mnashindwa halafu kweli mtaweza shindana na vijana wa Diamond?
Rafiki najua hobby zako zote! Ya kwanza ni mziki ikifuatiwa na mboo![emoji23][emoji23][emoji23]Video nzuri sana ila mbona nyimbo inaelekeana na ule 'nalegeaaa nikitazama yako macho,yako machoo'
Rafiki najua hobby zako zote! Ya kwanza ni mziki ikifuatiwa na mboo![emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe na next line bidadaaa......😘😘Video nzuri sana ila mbona nyimbo inaelekeana na ule 'nalegeaaa nikitazama yako macho,yako machoo'
fundi mboso.......Mboso anajua sana kucheza na camera anajua pia kutunga...pia nampongeza aliyemshauri aimbe aina hizo za nyimbo......video kali sana.......
Hakika wale wacheza Rhumba wanalo la kujifunza..... mtu wimbo unaitwa rhumba ata kujitikisa hata kidogo mnashindwa halafu kweli mtaweza shindana na vijana wa Diamond?
Waberoa inaonekana unampenda kiba bahati mbaya anawaangusha kingine kinachomwangusha kushindana na diamond aka maji marefuwanashindana?
unajua hata wewe ukianza kuimba leo ba sauti yako kama chura, utapata washabiki mpaka wa kujiua
Waberoa inaonekana unampenda kiba bahati mbaya anawaangusha kingine kinachomwangusha kushindana na diamond aka maji marefu
Faru nduga inapendezaFaru Job... ??? Ama Faru Nduga...???
NILISEMA NA NARUDIA KUSEMA... HILI JAMAA NI CHOKOfundi mboso.......Mboso anajua sana kucheza na camera anajua pia kutunga...pia nampongeza aliyemshauri aimbe aina hizo za nyimbo......video kali sana.......
Hakika wale wacheza Rhumba wanalo la kujifunza..... mtu wimbo unaitwa rhumba ata kujitikisa hata kidogo mnashindwa halafu kweli mtaweza shindana na vijana wa Diamond?