Video ya Mboso 'Maajabu'

Mvumo wa radi umeishia wapi, seduce imeishia wapi,kadogo imeishia wapi.Ngoma zinazoishi ni zile zilizokuwa zinafanywa na wasanii kuanzia 2014 kushuka chini usitakate kutudanganya kiba anafanya nyimbo za kuishi muda huu hiyo no angalia nyimbo za diamond kuanzia 2014 kushuka chini mifano ukimuona,kesho,nenda kamwambie,mbagala,lala salama,nalia na mengi,mawazo,nataka kulewa n.k hizo ngoma zote zinaishi mpaka Leo sio tu diamond na kiba pekee walikuwa wanafanya mziki wa kuishi Kuna wasanii wengi tu lkn Sasa mziki umechange ndo maana wasanii wamebadilisha aina ya miziki walikuwa wanafanya mwanzo so mzee baba Sasa hiv hakuna hata msanii mmoja anayefanya mziki wa kuishi usitundanganye.
 
Naona unalazimisha unavyoona sawa

muziki ili uishi unahitaji sio beats to bali clear words ambazo vizazi vijavyo vitaelewa, asilimia 90 ya maneno kwenye nyimbo za diamond ni matusi, tena mazito ambayo hauwezi kuimba hata kwa mama yako au mwanao!!

Maneno ya miziki ya nyakati hizi yanaendana na jamii ya muda huu na uelewa wa anamaanisha nini. Hii kwa kizazi kijacho hawataelewa!..wimbo wa salome A to Z ni matusi,

Hakuna mahali nimesema nyimbo zooote za diamond haziishi!..(acha mahaba)

Nyimbo za ali kiba ulizotaja zote zitaishi tu maana hazina chembe ya 'aibu' mle ndani. Lakini bado hata yeye akikosea akaenda mule mule wa diamond hazitaishi pia

Hoja zangu kwenye post yangu haikuwa 'uishi wa nyimbo tu' umechagua kasehemu kukufariji

Ukweli unabaki palepale ni watu tofauti, wana wapenzi tofauti kabisa

Hata wewe anza kuimba leo, kesho kuna mtu atajiua kwa ajili yao..its natural.ukisema wanashindana mnakosea au mkiwashindanisha ni makosa

Namsikiliza Kiba tangi enzi hizo hata leo, yuko vile vile...unataka abadilike? hawezi labda awaachie kings ndio waendane na unavyotaka

angalia wimbo wa Mbio, unafanana na wimbo gani wa diamond? is the same ali kiba!..

wimbo wa harmonize wa "never give up" utaishi sana tu....contrary na kusema wanaimba kufuata upepo na hakuna anayeimba wimbo uishi, ni wcb huyo
 
Ulivyosema 90% za ngoma za diamond Ni matusi hapa nimekushusha hadhi niambie ngoma ipi ya kwake ukitoa Salome inamatusi hiyo 90% umeitoa wapi?
 
Ulivyosema 90% za ngoma za diamond Ni matusi hapa nimekushusha hadhi niambie ngoma ipi ya kwake ukitoa Salome inamatusi hiyo 90% umeitoa wapi?

kazi ipo!

kumbe unampenda hauelewi anaimba nini? unajua hauko peke yako?

tuishie hapa bana, ushanishusha hadhi. endelea na simba wako
 
kazi ipo!

kumbe unampenda hauelewi anaimba nini? unajua hauko peke yako?

tuishie hapa bana, ushanishusha hadhi. endelea na simba wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu kijana itakuwa Akisikia naifinyia kwa ndani anahisi kufinya kwa mikonoo[emoji119][emoji119][emoji119] Mondi matusi ndo penyewe kidogo kaaanza kubadilikaa
 
Uko sahihi, wanasikiliza bila kuelewa

Nikimtafsiria wimbo mzima wa Salome, atajuta na kujiona mjinga! usikute ashawahi kuusikiliza akiwa kanisani!!!!

kwa mfano tu

"Mbona watizama chini Salome wangu, ukimwona jongoo (kidudu)"

"Inama chini, shika magoti (doggy flani) nami nimesimama kama ngogoti(kadinda)
"Mtoto jojo,(mlaini kukatika) sio roboti,(sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"

"Baby kwangwau, isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa"

..hivi anaju baada ya maneno haya jamaa alifanya nini

au wimbo wa kwangalu kuwa NYOKA ANATELEZA PANGONI Haoni haya yote
 
NILISEMA NA NARUDIA KUSEMA... HILI JAMAA NI CHOKO
Namimi nakupongeza sana kwa kuandika haya na kama haya yamekufanya umelala vyema leo basi endelea kuandika hili upate usingizi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu kijana itakuwa Akisikia naifinyia kwa ndani anahisi kufinya kwa mikonoo[emoji119][emoji119][emoji119] Mondi matusi ndo penyewe kidogo kaaanza kubadilikaa
Rikiboy hiyo jamaa asilimia 90% ngoma za diamond ni matusi Ni memsahihisha ukitoa ngoma ya Salome hakuna ngoma ya kwake Ni ya matusi.ngoma ya kwangwaru sio yake mwanza sio yake ndo maana nimekuuliza hizo asilimia 90% za ngoma za diamond Ni matusi kazitowa wapi?
 
Abadilike mimi nishamchoka kila siku kihindi anaimba halafu naona kawaida sana tofauti na wenzie
 
Wewe mpumbavu ndo unaewaza ngono.. PUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…