why Kiba? wanamuziki kibao wako akina Ney, marioo, timbulo, ruby, Nandy...n.k
Music is a brain sailojy.ukisema unampensa Diamond kwa ushabiki una tatizo wewe na sio diamond
Muziki kamwe, kamwe sio wa kushindanisha watu maana una ladha, maadhi na rythim tofauti ya mtu mmoja na mwingine
mimi ni mpenzi wa alikiba, ila sio eti wa kushindanishwa na fulani that will be wrong na against human nature
akiimba hapa barnaba, harmonize, issa mashauzi yu get nice feelings hata kama wewe sio fan wa hao
mpenzi ni yule hajali katoa muziki mbaya au mzuri!
Ali kiba ashashindanishwa na wangapi? tangu anaanza kama kumi hivi!!
Leo Ali Kiba akitaka kufanya kama Diamond atatupoteza sisi fans wake!..he is best as he is now with his music and caliber!
brains za watanzania ziko kushoto kidogo!..hauwezi ukasema au kuwaza beyonce ashindane na alicia keys, au enzi hizo whitney na mariah carey au celin dioni
kila mmoja ana ladha yake, utamu wake..
Na nasikiliza sana nyimbo za diamond, kuliko wewe.huu wa Inama mzuri, the one ulikuwa bomu(japo uliuona mzuri)
Kingine you will never hear people dansj kwangaru now!..ila utaona wanaimba cinderela hata leo hii au single boy...why? miziki ya mzuka/vibe/entertainment ina short life spans..miziki isiyo na mzuka ina longlife span..Kiba miziki yake inaishi, kubali kataa