Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Status
Not open for further replies.
Basi connection yako iwe twitter kurasa ya shetani8 utazuona hizi dhambi zote.

Disclaimer: Nanawa mikono kama Pilato dhambi za kuangalia hizo kitu isiwe juu yangu.
Asante mkuu kwa nunua hii dhambi

Mimi nitakuwa naangalia lakini dhambi zote zitakuwa juu yako πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haweza kuwa minna ally, toeni code mchongo upo kwa pilau nyama (jollofondibed) twitter
 
Nmeingalia video ni mwenyewe yle

Jamaa lina mnyonya kweli
kama nawaona clouds watakavo mtetea
 
Nawakumbusha ndugu zangu yeyote anaye changia uovu hata punje basi anasehemu yake ya madhambi hivyo angalieni unatoka kwa mtu mmoja yeye anasambaza sasa unapata na wewe share ya dhambi kwa kadri inavyosambaa.
 
Na wewe umechangia kwenye huu uzi wa maovu
 
Nawakumbusha ndugu zangu yeyote anaye changia uovu hata punje basi anasehemu yake ya madhambi hivyo angalieni unatoka kwa mtu mmoja yeye anasambaza sasa unapata na wewe share ya dhambi kwa kadri inavyosambaa.
Hukupaswa kuwepo kwenye huu uzi.
 
Kitendo chako cha kuficha picha itakuwa habari yako haijakamilika.
Au pengine ni udaku.

Weka mzigo loud and clear.
 
TAARIFA! SIO MIMI - Awali ya yote ningependa kuwapa pole familia yangu, mashabiki, wafanyakazi wenzangu na wadau wangu kwa mshtuko wowote waliopata kutokana na kadhia hii. Kuna video ya utupu inasambazwa mitandaoni (inaonyesha msichana anayefanana na mimi) na kuhusisha jina langu. Mimi Meena Ally, ningependa kuwataarifu Watanzania wenzangu kuwa msichana aliyeko kwenye video hiyo SIO MIMI na sihusiki kabisa na maudhui hayo ni mtu/watu walioisambaza na kuandika jina langu. Kama raia, mfanyakazi na mdau wa kazi mbali mbali naheshimu sheria ya nchi, brand yangu na muhimu zaidi utu wangu. Ninaandika haya kwa sababu si tu nafananishwa na msichana alie katika video hiyo, bali pia kuna mahali kwenye video hiyo imeandikwa jina langu. Nawasihi Watanzania wenzangu wasihusike katika kuisambaza hii video zaidi kwani tayari nimeshaifungulia kesi na upelelezi unaendelea kumtafuta aliyeisambaza na kuihusisha na jina langu na kampuni ninayofanya kazi @cloudsfmtz Nichukue nafasi hii pia kukemea vikali vitendo hivi vya udhalilishaji mtandaoni ambayo ni kinyume na sheria za nchi na utu wa binadamu. Sina shaka tutashirikiana na mamlaka husika kukamata wote waliohusika na kitendo hichi. πŸ™
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…