Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Status
Not open for further replies.
Aibu sio kwake tu sijui familia yake wataficha wapi sura zao.Wazazi tunapata tabu sana na watoto wa kuwazaa wenyewe. nitoe wito kwa vijana mambo ya chumbani yaishie ndani.

Pia wanaovujisha wakumbuke ikitokea kwa mama zao,dada zao au hata aunt pia itagharimu familia nzima
BASATA wameenda likizo baada ya Series za Amber
 
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana.

Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo sitaweza kuiweka hapa. Kina dada, lini mtaacha kukubali kurekodiwa? Hongera sana Meena Ally


View attachment 2086814
Ila yeye kabisa huyu[emoji28]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom