Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Status
Not open for further replies.
Pole sana Meena Ally na nimejifunza hii mitandao inaweza kukupelekea utindio wa ubongo, jana ilisambaa video inayosemwa ni mtangazaji maarufu, Meena Ally na akajaribu kujitetea siyo yeye lakini akaendelea kushikiwa bango. Leo nimegundua hamna kitu, ni video ya mdada na jamaa huko duniani na wameigiza video kadhaa nyingine zikiwa na sura bayana.

View attachment 2088072

View attachment 2088097
Dada aliyesemwa ni Meena Ally akionekana vyema usoni​
Wewe una uhakika gani ndio hii, acha uzuahi.
 
Bado irene uwoya watu wanamtafuta kwenye 18 zao muache aendelee kuuza sura insta.

Menina
Meena ally

Walikuwa wanawindwa ila hawajijui wenzao wanachukia kila deal kubwa wanapewa wao na hyo ndio njia pekee ya kuwaondoa kwenye ramani.

NB: Awe ni yeye au sio yeye ila hali haiwezi kuwa kama zamani
 
Biashara matangazo.
IMG-20220119-WA0043.jpg
 
Wadau wanasema hata kama hiyo muda mrefu haiondoi issue ya kua ni yeye au sio yeye. Hata kama ikiwa ni one year ago kipochi manyoya si alikua nacho.
 
Nafikri ni wakti sasa wa serikali kuangalia namna ya KUWA na sera maalum kwa ajili ya PORN industry ili kuondoa hii stress wanayopata hawa wacheza PORN wa Kitanzania ambao kila siku wanaibuka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom