Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
Video ya Nyerere ambayo alirekodi mu Australia mwaka 1959 Nyerere alivyotembelea Lindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nimeshangaa kwa kweli,kusini ilikuwa na maendeleo makubwa kuliko sasa
Kusini bora zamani Kuliko sasa!kusini ilikuwa na maendeleo makubwa kuliko sasa
Ndio magari ya kuleta mapinduzi hayo hata leo hii huwezi kutoka kama hutumii magari yenye sura mbayaDuu hiyo migari ya zamani ilikuwa NA sura mbayaaa!
Video ya nyerere ambayo alirekodi mu Australia
Mwaka 1959 nyerere alivyotembelea lindi
Kutawaliwa kubaya lakini sijui wapi tunakosea na Uhuru tunao!?
hili gari kweny hadithi ya mzee said inapatikana ukurasa wa ngapi?