Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
Duh nimeshangaa kwa kweli,kusini ilikuwa na maendeleo makubwa kuliko sasa
Kusini bora zamani Kuliko sasa!kusini ilikuwa na maendeleo makubwa kuliko sasa
Ndio magari ya kuleta mapinduzi hayo hata leo hii huwezi kutoka kama hutumii magari yenye sura mbayaDuu hiyo migari ya zamani ilikuwa NA sura mbayaaa!
hili gari kweny hadithi ya mzee said inapatikana ukurasa wa ngapi?Video ya nyerere ambayo alirekodi mu Australia
Mwaka 1959 nyerere alivyotembelea lindi
Kutawaliwa kubaya lakini sijui wapi tunakosea na Uhuru tunao!?
hili gari kweny hadithi ya mzee said inapatikana ukurasa wa ngapi?