Video ya Tetema ya Rayvany na Diamond ina ubunifu kutoka Marekani

Video ya Tetema ya Rayvany na Diamond ina ubunifu kutoka Marekani

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kuonyesha mwamba Sanaa imekuwa wasanii wa WCB wameamua kucopy na kupaste kutoka kwa msanii wa marekani ili kunogesha video wa wimbo huo mpya.
Huu Ni ubunifu wa Hali ya kuu katika kufikisha bongo fleva level za kimataifa duniani kote
Tazama video hapa View attachment Inst-video.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndioooooooooo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Washaishiwa hao mpango kukopy tu na kupaste angalia eneka wamekopy mzigo wa davido,baila wakakopy kwa wahindi video na sasa tetema hahahahaaaa AMA KWELI KUISHA KUPO.
 
Kumbe ku copy na ku paste ni ubunifu tena wa hali ya juu[emoji56][emoji56][emoji56]
 
Back
Top Bottom