Video ya utupu ya Drake yasambaa mitandaoni

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Rapa mkali na mwenye rekodi kedekede kwenye Muziki anaoufanya Drake, ameishtua Dunia baada ya video ya utupu inayodaiwa kuwa ni yake kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ulimwenguni.

Video hiyo imezua maswali mengi, huku mashabiki wakitaka kujua ni nani hasa aliesambaza video hiyo mitandaoni.

Taarifa toka vyanzo mbalimbali vya Burudani zinadai kuwa bado muhusika aliesambaza hiyo video hajajulikana.

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Tuendelee kuchukua tahadhari kwenye kulinda Privacy zetu.

Ukiona una date na mwenza/Mpenzi ambaye Kila baada ya round unakuta anapiga piga picha kuwa naye makini.

Hachelewi kutoa - connection Kwa Wana 😜
 
Babu umehadimika sana πŸ˜„πŸ˜„, Hali ya bibi inaendeleaje πŸ€”πŸ€”
 
Tuendelee kuchukua tahadhari kwenye kulinda Privacy zetu.

Ukiona una date na mwenza/Mpenzi ambaye Kila baada ya round unakuta anapiga piga picha kuwa naye makini.

Hachelewi kutoa - connection Kwa Wana 😜
Sijawahi kuwaelewa wachukuana picha kwenye issue hizi...should be a big no hata kama mahaba yamekolea nazi kwa kiasi gani...ni silaha ya kijinga sana when things get sour..
 
Nipo Mkuu, shughuli za kilimo zimenibana kiasi.

Bibi yenu hajambo, useme juzi alipata maumivu kidogo ya nyonga kutokana na Uzee wetu but she is okay now

Msalimie Mkwe wetu huko Mjini πŸ€—
Pamoja sana mkuu, 🀝🀝🀝
 
Ila ana dudu kubwa halafu li refu.Hilo linachoma mpaka kwenye cervix.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…